CCM watofautiana Mwinyi kuongezewa muda wa urais

Dar es Salaam. Wakati Sekretarieti ya Kamati Maalumu ya CCM, Zanzibar ikipitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais Hussein Mwinyi, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala amesema jambo hilo halipo. Jana, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Dk Mohamed Dimwa aliweka wazi nia ya kumwongezea…

Read More

SERIKALI ITAFANYIA KAZI HARAKA MAAZIMIO YA KONGAMANO LA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI- MSIGWA.

Wadau na Waandishi wa Habari wakifuatilia uwasilishaji wa mada na majadiliano katika siku ya kwanza ya Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari lililofanyika leo tarehe 28 Aprili, 2025 jijini Arusha. Na Mwandishi Wetu. Serikali imesema itahakikisha inafanyia kazi mapendekezo yote yatakayotolewa kwenye maazimio ya pamoja ya Waandishi wa Habari baada…

Read More

Kesi ya ‘vigogo wa Kigamboni’ yakwama

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeshindwa kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchepusha fedha na kuisababishia Wizara ya Tamisemi hasara ya Sh165 milioni, inayowakabili washtakiwa 13, wakiwemo wakuu wa Idara wa Manispaa ya Kigamboni, kutokana na washtakiwa wawili kushindwa kuleta Mahakamani wakitokea gereza za Segerea. Kesi hiyo ilipangwa leo Jumanne Januari 13, 2026…

Read More

Simba yafunga hesabu kwa Conte

Simba imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa CS Sfaxien, Balla Moussa Conte leo Ijumaa, Julai 11, 2025. Kiungo huyo wa ulinzi raia wa Guinea mwenye umri wa miaka 21, alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na Sfaxien unaofikia tamati 2026 ambao Simba imeuvunja na kumnasa mchezaji huyo. Conte amekuwa miongoni mwa wachezaji tegemeo wa Sfaxien…

Read More

Kocha Gaborone aipiga mkwara Simba

KOCHA wa Gaborone United, Khalid Niyonzima, amesema hawana presha yoyote kuelelea mchezo wa kesho dhidi ya Simba huku akiwahakikishia furaha mashabiki wa timu hiyo. Gaborone United inaingia kwenye mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali itakayochezwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar, ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza nyumbani kwa bao…

Read More

Saa 18 za mateso wagonjwa kukosa umeme Muhimbili

Dar es Salaam. Zaidi ya wagonjwa 200 wanaohitaji huduma ya kuchuja damu ‘dialysis’ na watoto wanaopokea huduma katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jana walipitia wakati mgumu baada ya jengo wanalolitumia kupata huduma hizo kukosa umeme kwa saa 18. Wagonjwa hao wanaopokea huduma katika jengo la watoto kwa zamu ndani ya hospitali hiyo, walijikuta wakirundikana…

Read More

Latra kuanzisha utaratibu mpya wa usafiri Dar

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), inatarajia kuanzisha huduma ya ‘Ride Sharing’ kabla ya kuisha mwaka huu wa fedha 2024/25. Watu tisa hadi 14 wataweza kupanda gari moja kwa kuomba kupitia mitandao ya simu hata kama wapo vituo tofauti. Akizungumza na Mwananchi, leo Jumanne, Agosti 13, 2024 Mkurugenzi wa Udhibiti Usafiri wa…

Read More

WAZIRI JAFO ATAKA KILA MKOA KUANZISHA VIWANDA

  Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo,akizungumza na Waandishi wa Habari wakati akiitambulisha Programu ya  utekelezaji Programu ya Viwanda (2025- 2026) inayoongozwa na Kauli mbiu isemayo “Viwanda vyetu, Ajira zetu Uchumi wetu” leo Agosti 15, 2024 jijini Dodoma. Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo,akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari …

Read More