INEC yatangaza majimbo mapya manane
Dodoma. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza majimbo mapya nane na hivyo kufanya jumla ya majimbo ya uchaguzi kufikia 272. Aidha, INEC imeongeza idadi ya kata tano na hivyo kufanya idadi zitakazofanyika uchaguzi mkuu kufikia kata 3,960. Mchakato wa kupokea maoni ya kubadilisha na kugawanywa kwa majimbo ya uchaguzi na kata za uchaguzi…