Takwimu za elimu kuwa katika mfumo Moja
Na Janeth Raphael MichuziTv- Bungeni -Dodoma WIZARA ya Elimu,Sayansi na Teknolojia inajivunia kuunganisha mifumo ya takwimu za elimu na kuwa na mfumo mmoja wa sekta ya elimu. Hayo yameelezwa leo Mei 12,2025 bungeni na Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Adolf Mkenda wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha…