Saratani inavyoweza kupona, kuzuka tena
Kenya. Mwaka 2011, Judy Wanyoike raia wa Kenya, alianza kupata maumivu ya mgongo na kutokwa na damu ukeni, dalili ambazo hapo awali hakuweza kuzifafanua. Hali hii iliendelea kwa miezi kadhaa hadi mwaka wa 2012 alipoambiwa kuwa alikuwa na saratani ya shingo ya kizazi. “Nilikua nimeenda kwenye semina ya kanisa ya wiki moja huko Naivasha, ambapo…