
DKT. NCHEMBA ATETA NA BALOZI WA HUNGARY
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Hungary nchini, mwenye makazi yake Jijini Nairobi nchini Kenya, Mhe. Zsolt Mészáros, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, ambapo Dkt. Nchemba ametoa wito kwa wawekezaji kutoka…