
VODACOM YAZINDUA OFISI MPYA KANDA YA KASKAZINI JIJINI ARUSHA
Mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania PLC Bw. George Venanty akizungumza wakati wa uzinduzi wa ofisi mpya ya Kanda ya Kaskazini jijini Arusha. Tukio hilo lilihudhuriwa na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC Philip Besiimire, Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc David Tarimo na Wafanyakazi wengine wa Vodacom Tanzania…