Qares: Mwenyekiti wa G55 anayekumbukwa kwa misimamo yake

Dar/Mikoani. “Ninaweza kumwelezea Qares (Mateo) kama mmoja wa watu wakweli. Alikuwa na kiwango cha chini sana cha unafiki na hakuogopa kusema kile anachofikiri. Ni watu wachache wanaoweza kusema jambo hata kama halimpendezi mtu, lakini akalisema kwa uwazi.” Ni kauli ya mwanasiasa mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu, akimwelezea Qares, aliyefariki dunia Julai 9, 2025, saa 4:00 usiku…

Read More

Beki KMC apewa dili miaka mitatu Misri

ALIYEKUWA beki wa KMC, Raheem Shomari amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Ghazl El-Mehalla ya Misri. Akizungumza na Mwanaspoti, beki huyo alisema tayari ameungana na timu hiyo na anaendelea na maandalizi ya msimu mpya ambao unatarajiwa kuanza wiki mbili zijazo. “Ni kweli nimemalizana na timu hiyo na tayari nipo kambini tunaendelea na maandalizi ya msimu…

Read More

Ithibati ni muhimu kwa tasnia ya habari – Waziri Prof. Kabudi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (kulia) akizindua rasmi Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (Journalists Accreditation Board-JAB) na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Tido Mhando (kulia) leo Machi 3, 2025 jijini Dar es Salaam.Na Mwandishi Wetu. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba John Aidan…

Read More

RC ARUSHA AWATAKA POLISI KUTOGEUZA BODABODA CHANZO CHA MAPATO

Na Seif Mangwangi, Arusha MKUU wa Mkoa wa Arusha Kenan Kihongosi ametoa siku tatu kwa madereva wa bodaboda Mkoa wa Arusha kuondoa kelele maarufu kama ‘Mafataki’ kwenye pikipiki zao kwa kuwa zimekuwa zikisababisha maradhi na kustua wagonjwa. Aidha Kihongosi amewataka Askari wa usalama barabarani Mkoani humo kutowageuza madereva wa bodaboda kama chanzo cha mapato kwa…

Read More

MKENDA ASISITIZA TAFITI ZA KISAYANSI KUONGEZA TIJA YA UZALISHAJI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ni muhimu kufanya utafiti wa kisayansi kusaidia kukwamua changamoto za uzalishaji sekta mbalimbali ikiwemo Elimu na kilimo kuchochea ustawi Endelevu wa maendeleo kiuchumi. Mkenda amesema hayo leo Julai 10, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu unaojadili ushahidi wa matokeo…

Read More