Mjadala wa viboko kwa wanafunzi, suluhu hii hapa
Katika gazeti hili toleo la tarehe 5/3/2025 kulikuwa na kichwa cha habari: “Mwanafunzi afariki dunia kwa kipigo.” Halafu katika tolea la tarehe 6/3/2025, mhariri akaandika maoni ya gazeti kwa kichwa cha habari kisemacho: “Viboko hadi kifo vikomeshwe shuleni.” Nampongeza mhariri kwa maoni hayo mazuri. Na kesho yake tarehe 7/3/2025 tukaona tena habari hii: “Sababu mwili…