Tahadhari za kimaadili, kiafya huduma za sauna na spa
Dar es Salaam. Wakati uanzishwaji wa maeneo kwa ajili ya utunzaji wa mwili, afya na mapumziko (sauna na spa) ukiongezeka, angalizo limetolewa kuhusu huduma hizo ikielezwa baadhi hutweza utu, hususani kwa wanawake. Sauna ni chumba maalumu chenye joto kali (kwa kawaida kati ya nyuzijoto sentigredi 70 hadi 100) kinachotumika kwa ajili ya kutoa jasho ili…