Mgunda: Tupo tayari kwa vita ya KMC
KAIMU kocha mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema hana wasiwasi kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, kwani tayari ameshaliandaa jeshi alililonalo kushuka Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini hapa ili kuzisaka pointi tatu mbele ya wapinzani wao hao waliotoka nao sare ya 2-2 katika mechi ya kwanza. Mchezo huo utakaopigwa kesho unatazamiwa…