DKT. Biteko akutana na wawekezaji wa Modern industrial park

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Modern Industrial Park wanaomiliki kongani ya viwanda eneo la Kibaha, Mkoani Pwani. Mazungumzo hayo yamefanyika Juni 24 katika ofisi za Naibu Waziri Mkuu Bungeni, jijini Dodoma. Aidha, Dkt. Biteko amewaeleza wawekezaji hao kuwa Serikali iko tayari kushirikiana…

Read More

Chama cha mawakili wa Serikali, TLS ngoma nzito

Dar es Salaam. Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) kimetoa wito kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kuzingatia maadili ya taaluma ya sheria na misingi ya ueledi katika kushughulikia changamoto zinazowakabili wanachama wake. Hii ni kufuatia tamko la TLS linalowataka wanachama wake kusitisha kushiriki katika utoaji wa msaada wa kisheria, kama njia ya kushinikiza hatua…

Read More

MAKAMU WA RAIS AKIHUTUBIA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI

………………………. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema ni muhimu Jeshi la Polisi kuimarisha ushirikiano wa karibu na wadau wote wa uchaguzi, hatua ambayo itasaidia kuhakikisha kila mdau anatendewa haki, na kuondoa tofauti zinazoweza kusababisha migongano.  Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka…

Read More

Dogo wa Sudan afichua jambo 

KATIKA umri wa miaka 18 tu, Musa Hussein amejikuta akiwakilisha ndoto ya mamilioni ya vijana wa Afrika kwa kufunga bao katika mechi ya ufunguzi ya Sudan katika mashindano CHAN 2024. Hussein ndiye mchezaji mdogo kabisa kufunga bao katika mashindano haya, jambo lililomfanya kuwa mchezaji wa kwanza na wa pekee aliyeweka alama akiwa na umri huo…

Read More

Aliyenusurika ‘kutekwa’ asimulia kilichomuokoa | Mwananchi

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Deogratius Tarimo aliyenusurika kutekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi, Novemba 11, 2024, amesema stamina na unene vilimsaidia asiingizwe kwenye gari la watu hao. Tukio hilo lililotokea Novemba 11, 2024 kwenye Hoteli ya Rovenpic, Kiluvya, jijini Dar es Salaam. Video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii inayowaonyesha watu wawili wakijaribu kumkamata na…

Read More

Manispaa ya Temeke yatumia Mamilioni ya fedha bila kufuata mifumo ya kudhibitishwa ubora

*Wafanya manunuzi nje ya mfumo zaidi ya sh.Bilioni Mbili Na Chalila Kibuda ,Michuzi Manispaa ya Temeke ya katika ripoti ya CAG iliweza kutumia kiasi cha sh.155,839,175 Kwa vifaa ambavyo havijavidhibishwa ubora. Hayo yamebainika katika Ripoti ya CAG ambapo ni mlolongo wa Halmashauri nyingi kufanya hivyo ikiwemo Manispaa ya Temeke Ripoti hiyo imesema kufanya matumizi ya…

Read More