BILIONI 11.8 KUENDELEA KUTOKOMEZA MAGONJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema hadi kufikia sasa Tanzania imepokea Shilingi Bilioni 11.8 kutoka Serikali ya Uingereza ikiwa ni mchango mkubwa wa kuisaidia Tanzania kukabiliana na magonjwa Yasiyopewa Kipaumbele ikiwepo Matende, Mabusha, Uono afifu, Usubi na Kichocho tangu mwaka 1998. Waziri Mhagama amesema hayo leo Septemba 17, 2024 baada ya kikao cha majadiliano…