BENG’I ISSA -WANAWAKE WA KIGOMA WATARAJIE MAMBO MAZURI YA UWEZESHAJI KIUCHUMI
:::::::: MTEULE wa Viti Maalumu vya Ubunge katika Mkoa wa Kigoma, Beng’i Issa amewakata wanawake wa Mkoa huo, kuwa na matumaini makubwa kupata uwezeshaji wa kiuchumi kwa fedha zilizotengwa na serikali sh. bilioni 200. Akizungumza mkoani humo, amesema serikali ya Rais Dk.Samia imekuwa mistari wa mbele katika kujali makundi yote ya wananchi hususan kuwawesesha kiuchumi….