
DK SAMIA:NILETEENI DK.HUSSEIN ALI MWINYI ILI TUSHIRIKIANE KATIKA KULETA MAENDELEO
Na Said Mwishehe, Michuzi TV-Zanzibar MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Mgombea Urais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ndiye mgombea sahihi kwa sasa ambaye atakayeshirikiana naye kuleta maendeleo kwa manufaa ya pande mbili za muungano. Akihutubia maelfu ya wananchi wa Jimbo la Nungwi Wilaya ya Kaskazini A…