
Yanga watiwa hasira Ligi Kuu
YANGA inapaa leo kwenda Kigoma ikiwafuata wanajeshi wa Mashujaa, lakini kocha wa timu hiyo, Hamdi Miloud amewajaza upepo washambuliaji Prince Dube na Clement Mzize akiwaambia waamue wao kwani kiatu cha ufungaji bora kipo kwenye miguu yao. Kwenye msimamo wa ufungaji kinara wa mabao ni Mzize amefunga 10 sawa na kiungo wa Simba Jean Charles Ahoua…