Makamu wa Rais mgeni rasmi Mei Mosi

Arusha. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewasili katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yanayofanyika kitaifa jijini humo. Awali Rais Samia Suluhu Hassan, alitarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo. Leo Mei Mosi, 2024 maadhimisho hayo yameanza  ambapo kwa sasa maandamano…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AMEFUNGUA TAMASHA LA MWAKA KOGWA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua Tamasha la Mwaka Kogwa Makunduchi lililofanyika katika viwanja vya Kae Kuu Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja leo 16-7-2024 na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamati ya Mwaka Kogwa.Mwita Masemo Makungu na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja…

Read More

Rita: Ndoa ya aina hii haitambuliki kisheria

Dar es Salaam. Licha ya kufunga ndoa ya dini miaka 10 iliyopita, Jane Elias alijikuta katika sintofahamu baada ya kuambiwa ndoa yake haitambuliki kisheria. Jane ni miongoni mwa wanandoa wengi wanaofunga ndoa katika nyumba za ibada, lakini wengi wao wanapofika kwenye sheria, hujikuta ndoa zao hazitambuliki kutokana na sababu mbalimbali. Jane anasema alifunga ndoa ya…

Read More

TCRA Arusha yazindua kampeni ya kupambana na utapeli mtandaoni,Meneja afunguka

Mamlaka ya Mawasiliano ya Mawasiliano Tanzania{TCRA} Kanda ya Kaskazini imeanzisha kampeni ya kuwahimiza watanzania kujilinda dhidi ya uhalifu mtandaoni kwani uwepo wa mazingira salama mtandaoni utawezesha kufikia malengo ya uchumi wa Kidijiti. Hayo yalisemwa leo Jijini Arusha na Meneja wa TCRA Kanda ya Kaskazini,Mhandisi Francis Mihayo mbele ya waandishi wa habari na kusema kuwa katika…

Read More