Tanzania kuvuna Sh36 bilioni kila mwezi ujenzi wa maghorofa nje ya nchi
Dodoma. Serikali kwa mwaka wa fedha ujao, umepanga kujenga majengo ya kiuchumi katika majiji ya Kinshasa (DRC- ghorofa 25) na Nairobi (Kenya- ghorofa 22). Picha za majengo ya Nairobi na Kinshasa zipo tayari na picha za majengo mengine ya kitega uchumi katika majiji ya Maputo (Msumbiji), Bujumbura (Burundi), Kigali (Rwanda) na Lilongwe (Malawi) nayo imewekwa…