Baraza la Usalama laidhinisha azimio la kusitisha vita Gaza – DW – 11.06.2024
Azimio hilo lililoandaliwa na Marekani, limeidhinisha pendekezo la kusitisha mapigano lililotangazwa na Rais Joe Biden, ambalo Washington inasema kuwa Israel imekubaliana nalo. Linatoa wito kwa kundi la wanamgambo la Hamaskukubaliana na awamu tatu za mpango huo. Azimio hilo ambalo lilipitishwa na wajumbe 14 kati ya 15 wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, kasoro…