WANAWAKE WANAOSUMBUKA KUPATA MTOTO, TUMIA NJIA HII!

Jina langu ni Sauda kutokea Moshi Tanzania, nimeishi katika ndoa zaidi ya miaka saba sasa na mume wangu, Jose katika miaka mitano ya mwanzo katika ndoa yetu hatukujaliwa kupata mtoto jambo lilonipa wakati mgumu sana msongo wa mawazo. Kila wakati nilikuwa namwambia mume wangu na watu wa karibu kwamba ningefurahi iwapo siku moja nitajaliwa kupata…

Read More

Dk Kimbokota: ‘Msijisahau, Ukimwi bado Upo’

Iringa. Naibu Rasi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (Muce), Dk Fikira Kimbokota amesema Ukimwi bado upo na kuwakumbusha wasomi kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya. Amesema Muce imekuwa ikitenga bajeti kila mwaka kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa huo ili kudhibiti maambukizi mapya. Akizungumza na Mwananchi baada ya mafunzo kwa wahadhiri, wanafunzi…

Read More

Yanga yaibuka mkutanoni, Simba yasikilizia

Wakati mechi ya Dabi ya Kariakoo ikitarajiwa kupigwa kesho, Yanga imefanya mkutano na waandishi wa habari, huku Simba iliyotakiwa kufika kwenye mkutano haikutokea. Simba itakuwa mgeni wa Yanga kwenye mchezo huo wa kiporo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 11 jioni. Kabla ya mchezo huo timu…

Read More

Samia afungua skuli iliyojengwa na NMB kwa mil. 800

  RAIS Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Maandalizi ya Tasani – Visiwani Zanzibar ambayo Benki ya NMB imegharamia ujenzi wake na uwekaji wa samani ikiwemo viti, meza na madawati kwa gharama ya Sh 800 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Skuli hiyo yenye madarasa matano na itaweza kupokea wanafunzi 200 kwa wakati mmoja….

Read More

Sababu beki Simba kukwama Zambia

BEKI wa zamani wa Simba ya Vijana U-20, Alon Okechi Nyembe anayekipiga Zanaco FC ya Zambia amesema amechelewa kupata kibali cha kazi kilichomfanya asicheze hadi sasa. Nyembe alicheza Simba U-20 misimu miwili kisha kupandishwa timu kubwa na alifanya mazoezi na timu hiyo pamoja na kupata nafasi ya kucheza kwenye mechi za kirafiki. Akizungumza na Mwanaspoti,…

Read More

KONA YA MALOTO: Siasa ni mihadarati, hupofusha, huumiza na kuua taifa

Msomi wa uandishi wa kibunifu (creative writing), Veronica Roth wa Chuo Kikuu cha Northwester, Marekani, aliandika kwa kuhoji; Tunachangia adui, lakini hiyo inafanya sisi tuwe marafiki? Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Condoleezza Rice, alisema: “Tunahitaji adui mmoja ili atuunganishe.” Mwandishi James Fahy alipata kuandika: “Hakuna kinachoweza kuwaunganisha binadamu kama adui mmoja.” Kilichokuwa…

Read More

Mtanzania Atelekezwa India, Aomba Msaada wa Matibabu – Video – Global Publishers

Halima Kaisi ni Mtanzania aliyejipata kwenye hali ngumu nchini India baada ya kushawishiwa na mwanaume aliyekuwa mpenzi wake kwamba angemtafutia kazi, lakini baadaye alimtelekeza na kumuacha apambane mwenyewe. Kwa sasa, Halima anaumwa na amedhoofika sana. Madaktari wamethibitisha kuwa ana matatizo ya figo, hali inayomlazimu kupata matibabu ya haraka. Anapitia kipindi kigumu, akiwa…

Read More

Yanga bingwa Mapinduzi Cup 2026

Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kati ya Azam dhidi ya Yanga iliyochezwa Jumanne ya Januari 13, 2026, haijawa nyepesi kwani kipute kimepigwa hadi dakika 120 ndipo mshindi akaja kupatikana, huku ubabe ukitawala naYanga ikitwaaa ubingwa wake wa tatu. Yanga imefanikwia kuchukua ubingwa huo baada ya kushinda kwa penalti 5-4 kwenye mchezo huo. Hata hivyo,…

Read More