DKT. GWAJIMA AHIMIZA SERIKALI ZA MITAA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye ofisi hizo waweze kushirikiana na familia au…