Tuko Tayari Usitishaji Mapigano – Global Publishers

Muungano wa waasi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Alliance Fleuve Congo (AFC), unaojumuisha waasi wa M23, umetangaza kuwa tayari kushiriki mazungumzo na serikali ili kusitisha mara moja mapigano mashariki mwa nchi, msemaji wa kundi hilo amesema.Lawrence Kanyuka amechapisha ujumbe kwenye ukurasa wake wa mtandao waa X, akitangaza kuwa AFC imejitolea kwa…

Read More

Viongozi wa ulimwengu wanapaswa kujitolea kwa haki za binadamu, haki ya kimataifa – maswala ya ulimwengu

Watu waliohamishwa kutoka Jabalia, Gaza, wanaishi katika jengo lililoharibiwa katika jiji la Gaza. Hatua ya kumaliza kumaliza uhalifu wa Israeli dhidi ya Wapalestina. Mikopo: Habari za UN na saa ya haki za binadamu (New York) Ijumaa, Septemba 19, 2025 Huduma ya waandishi wa habari New YORK, Septemba 19 (IPS) – Viongozi wa Ulimwenguni wakikusanyika kwenye…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Che Malone ajitathmini vinginevyo

BEKI wa kimataifa ambaye timu inatumia gharama kubwa za fedha kumleta hapa nchini kisha kumhudumia, hatakiwi kufanya makosa ya kizembe ambayo yana athari kwa timu yake. Ndio kama tunavyoamini hapa kijiweni hasa kwa beki kama Che Fondoh Malone ambaye Simba ilitumia mzigo wa kutosha kumchomoa kule Cameroon katika timu ya Cotonsport kuja hapa nchini. Wakati…

Read More

Serikali: Hakuna mgonjwa wa Mpox Tanzania

  Wizara ya Afya imesema kuwa mpaka sasa Tanzania ni salama na hakuna mgonjwa yoyote aliyepatikana na ugonjwa wa Mpox ambao awali ukijulikana kama homa ya nyani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ugonjwa huo ulioanza Mei 2022 hadi kufikia tarehe 31 Mei 2024, wagonjwa 97,745 na vifo 203 vimetolewa taarifa kutoka nchi…

Read More

Tanga, Moro zang’ara UMITASHUMTA | Mwanaspoti

TIMU za Morogoro na Tanga zimeanza kwa moto michuano ya Michezo ya Shule za Msingi nchini (UMITASHUMTA) inayoendelea mkoani Iringa kwa kuzisambaratisha Dodoma na Dar es Salaam mtawalia. Moro iliishinda Dodoma kwa mikimbio 54, huku Tanga ikishinda  dhiddi ya Dar es Salaam.. Mchezo wa Kriketi unaingia kwa mara ya kwanza katika michezo ya UMITASHUMTA baada…

Read More