WAZIRI BASHE AZINDUA KIUATILIFU HAI CHA KUANGAMIZA WADUDU DHURIFU WA MAZAO YA MAHINDI NA PAMBA

WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amezindua kiuatilifu hai cha kuangamiza wadudu dhurifu kwenye mazao (THURISAVE – 24) kilichovumbuliwa na kampuni ya Tanzania Biotech Products Limited (TBPL) leo tarehe 4 Oktoba 2024, mkoani Pwani. Kiuatilifu hicho cha Thurisave kinadhibiti wadudu waharibifu wa zao la pamba na kantangaze kwenye nyanya. Kiuatilifu kinachodhibiti mbu ni aina…

Read More

Lilivyoundwa jimbo la Kanisa Katoliki Bagamoyo

Dar es Salaam. Papa Francis Machi 7, 2025 aliunda Jimbo Katoliki la Bagamoyo, nchini Tanzania, akimteua Askofu Stephano Musomba kuwa wa kwanza kuliongoza. Kabla ya uteuzi huo, Musomba alikuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, uteuzi uliofanywa na Papa Francis Julai 7, 2021 na aliwekwa wakfu kuwa askofu Septemba 21, 2021. Padri…

Read More

EWURA YATOA VIBALI NANE USAMBAZAJI GESI ASILIA VYA CNG

 :::::: Hadi Aprili, 2025 EWURA ilitoa jumla vibali nane (8) kwa ajili ya ujenzi wa mabomba ya kupeleka gesi asilia kwenye vituo vya CNG. Vibali sita (6) vilitolewa kwa Kampuni ya TPDC ili kuunganisha gesi asilia katika vituo vya: Puma Energy Tanzania Limited (Mbezi Beach); TPDC (Mlimani); TAQA Dalbit (Ubungo Mawasiliano); Energo Tanzania Limited (Mikocheni);…

Read More

Walimu, wanafunzi Pugu wanolewa elimu ya fedha

Dar es Salaam. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya fedha na umuhimu wa kuweka akiba kwa wanafunzi na walimu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Pugu, iliyopo Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam. Hatua hii inalenga kuwapa wanafunzi ujuzi wa kifedha, kuwawezesha kujiwekea akiba, kubuni mawazo ya biashara na kufahamu jinsi…

Read More

MWANDISHI WA HABARI AMTABIRIA MAKUBWA DKT SAMIA

Na Rashid Mtagaluka Mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya siasa na kijamii nchini, Saleh Mohamed, amesema Tanzania ipo katika njia sahihi ya maendeleo na kwamba miaka mitano ijayo nchi itakuwa imepiga hatua kubwa zaidi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza Septemba 4, 2025 kupitia mahojiano na Radio Free Afrika jijini…

Read More