Funza mwekundu tishio, mikoa tisa yasitisha kilimo cha pamba
Morogoro. Bodi ya Pamba Tanzania ikishirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tari) inaendela kufanya utafiti wa kumdhibiti funza mwekundu baada ya kuwa kikwazo na tishio katika uzalishaji wa zao la pamba kwa badhi ya mikoa nchini. Tayari mikoa mikoa sita imeshasitisha kilimo hicho kutokana na uharibifu wa mimea na kushuka kwa uzalishaji. Watafiti…