Waziri Lukuvi, atoa mitungi ya gesi kwa vijana

  Waziri Lukuvi, atoa mitungi ya gesi kwa vijana Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) Isimani ameendelea kuunga mkono kampeni ya kutumia nishati safi ya kupikia kwa kutoa majiko ya gesi kwa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi ya kata ya mpira wa miguu katika jimbo la Isimani….

Read More

MO DEWJI: NIMETUMIA BILIONI 87 KWA AJILI YA SIMBA SC

Na Bakari Madjeshi, Michuzi TV Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji) amethibitisha kuwa kutoka mwaka 2017 hadi mwaka 2024 ametumia zaidi ya Shilingi Bilioni 80 (Tsh. 87 B) kwenye masuala mbalimbali kwa ajili ya Klabu hiyo. Mohammed amesema hayo kupitia ‘video’ yake aliyoichapisha kwenye mtandao wa ‘Instagram’. Amesema kiasi…

Read More

Yanga Mwendo mdundo! | Mwanaspoti

WABABE wa soka nchini, Yanga usiku wa jana ilikuwa visiwani Zanzibar kumalizana na CBE SA ya Ethiopia katika mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku ikiwa na rekodi tamu ya kucheza michezo sita tofauti na kimashindano na kufunga mabao 18 na kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi amepiga mkwara…

Read More

Watatu waachiwa huru usafirishaji gramu 997.91 za heroini

Arusha. Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewaachia huru washtakiwa watatu walioshtakiwa kwa kosa la kusafirisha gramu 997.91 za dawa za kulevya aina ya heroini. Hukumu iliyowaachia huru washtakiwa hao imetolewa Mei 23, 2025 na Jaji Sedekia Kisanya aliyesema upande wa mashitaka umeshindwa kuthibitisha shitaka hilo pasipo kuacha shaka. Walioachiwa huru ni Mohamed…

Read More

Ngaiza afunika kwa Rebound | Mwanaspoti

FOTIUS Ngaiza wa Vijana ‘City Bulls’, anaongoza kwa kudaka mipira ya ‘rebound’ mara 269 katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BD). Ngaiza aliweza kumwacha kwa mbali mkongwe  Jimmy Brown  wa UDSM Outsiders, anayeshika nafasi ya pili  kwa udakaji mara 203. Nafasi ya tatu  ilikwenda kwa Elias Nshishi aliyedaka mara 200, Cornelius Ngaiza…

Read More

Sakata mtuhumiwa kupigwa risasi lachukua sura mpya

Dar es Salaam. Wiki moja baada ya Mwananchi kuripoti tuhuma za ofisa wa Polisi kudaiwa kumpiga risasi Ronald Mbaga wakati akimhoji kwa tuhuma za kuiba bastola ya mfanyabiashara, mfanyabiashara huyo naye amelalamika kutotendewa haki na Polisi. Ilidaiwa kuwa ofisa huyo wa polisi (jina limehifadhiwa) alimpiga risasi Mbaga akiwa anamhoji nyumbani kwake, lakini madai hayo yamekanushwa…

Read More

Waziri Mkuu awaonya wavunja sheria – DW – 05.08.2024

Kutokana na vurugu hizoWaziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer atafanya mkutano wa dharura leo hii Jumatatu. Mkutano huo wa usalama wa nchi kwa jina Cobra, utawaleta pamoja mawaziri na polisi watakaojadili jinsi ya kuzimaliza ghasia zilizozuka kwa mara ya kwanza huko Southport, kaskazini magharibi mwa Uingereza ambako watoto watatu waliuawa. Hadi kufikia sasa mamia ya…

Read More