Prisons yasaka wawili kumaliza uhaba wa mabao
TANZANIA Prisons imesema licha ya matokeo kuwa magumu, lakini inaridhishwa na kiwango bora cha wachezaji na namna wanavyojituma uwanjani, huku benchi la ufundi likianza kusaka nyota wawili wa kuongeza nguvu eneo la ushambuliaji kumaliza tatizo la mabao. Prisons haijawa na matokeo mazuri sana kutokana na pointi saba ilizokusanya katika mechi saba, huku ikiruhusu mabao matano…