Sababu wanaume kuwa kinara wa mapishi hotelini

Mwanza. Yawezekana mara kadhaa umetembelea hoteli kubwa ndani na hata nje ya nchi na kukutana na wapishi wanaume. Je, ulishawahi kujiuliza kwa nini wapishi wakuu kwenye hoteli kubwa wengi wao ni wanaume? Hata kwenye makundi ya kijamii ya wanawake wanaofanya kazi ya kupika kwenye shughuli mbalimbali ni lazima utakuta wamo wanaume miongoni mwao. Tovuti maarufu…

Read More

Majaliwa asisitiza mambo manne akiangazia uchaguzi mkuu

Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasilisha bungeni mapitio ya utekelezaji wa shughuli za Serikali na mwelekeo wa mwaka ujao wa fedha, akitilia mkazo mambo manne, ukiwemo uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Masuala mengine aliyoyazungumzia ni kukamilika kwa maandalizi ya Dira ya Taifa, kuimarishwa kwa ukusanyaji wa mapato huku akisisitiza wananchi wajiandikishe kupiga…

Read More

Dereva mbaroni kwa kusababisha ajali Moro

Morogoro. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro Alex Mkama amesema wanamshikilia dereva wa basi la Shabiby namba T341 EEU, Said Malugula mkazi wa Dar es salaam baada ya kusababisha ajali iliyotokea saa 12:20 asubuhi ya leo Mei 25,2024 eneo la Kihonda kwa Chambo. Gari hilo lilikuwa likitokea Morogoro kuelekea mkoani Dodoma.Akizungumza na Mwananchi…

Read More

Dili la Kibu Denis bado kidogo

MABOSI wa Simba kwa sasa wanasikilizia tu dili la nyota wa timu hiyo, Kibu Denis aliyepo Norway kwa sasa akimalizana na klabu ya Kristiansund BK kama ambavyo Mwanaspoti lilivyoripoti awali taarifa kuwa ametoroka ni zuga tu ya viongozi wa Wekundu hao kwani walikuwa wanajua kila kitu. Taarifa zilizopatikana kutoka ndani ya klabu hiyo ni, mabosi…

Read More

Maeneo yatakayoamua urais wa Museveni, Bobi Wine

Dar es Salaam. Joto la kisiasa nchini Uganda linazidi kupanda huku maeneo haya  yanatarajiwa kuamua kati ya Rais Yoweri Museveni na Robert Ssentamu, maarufu Bobi Wine nani kuibuka na ushindi kwenye uchaguzi huo utakaofanyika Alhamisi ijayo. Kampeni za urais zilianza Septemba 29, 2025 huku za wabunge zikianza Novemba 10 na zinahitimishwa leo Jumanne, Januari 13,…

Read More