MAN CITY WASHUSHA KIFAA KIPYA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Manchester City imethibitisha kumsajili winga wa Kibrazil, Savinho kwa ada ya pauni milioni 21 itakayofikia milioni 33.6 pamoja na nyongeza akitokea Troyes ya Ufaransa. Savinho (20) ambaye msimu uliopita alikuwa kwa mkopo Girona ya Uhispania amesaini mkataba wa miaka mitano mpaka Juni 2029 na anakuwa usajili wa kwanza wa Man City majira haya ya…

Read More

Simba yatua tena Mamelodi ikitaka winga

SIMBA haipoi. Baada ya kudaiwa kunasa saini ya mmoja wa mabeki wa Mamelodi Sundowns, mara hii imerejea tena ikipambana kuchomoa mtu ndani ya timu hiyo ambaye katika mashindano ya Kombe la Dunia la Klabu kule Marekani ulimshuhudia akikipiga katika kikosi hicho. Achana na Rushine De Reuck, beki unayeweza kumuona mitaa ya Msimbazi msimu ujao, lakini…

Read More

Ramovic awaita mashabiki uwanjani, anapenda kuitwa ‘Tanzanian Machine’

Na Mwandishi Wetu Kocha Mkuu wa Yanga,Sead Ramovic amesema mashabiki wanamuita ‘German Machine’ lakini yeye angependa kuitwa ‘Tanzanian Machine’, huku akiwaita mashabiki wa timu hiyo kesho kujitokeza uwanjani ili kukaribisha na kumsapoti ili kupata matokeo mazuri. Yanga kesho Novemba 26,2024 inashuka dimbani kucheza na Al Hilal katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja…

Read More

Mechi inayofuata baada ya kipigo kikubwa -3

TUNAENDELEA na simulizi zetu za mechi ijayo ya watani wa jadi, Aprili 20 mwaka huu…yaani Jumamosi hii! Hii ni mechi ya kwanza tangu Yanga wawape watani wao Simba kipigo kikubwa cha 5-1, Novemba 5, 2023. Hiki ni moja ya vipigo vikubwa ambavyo vimewahi kutokea kwenye mechi watani. Kupitia makala hizi tunakuletea kumbukumbu ya mechi iliyofuata…

Read More

Serikali yawaonya wanaotaka kufanya fujo uchaguzi mkuu

Dodoma. Serikali ya Tanzania imewaonya watu waliojipanga kuleta fujo, kujihusisha na rushwa ama kuleta sitofahamu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kuwa ipo macho na haitatoa mwanya wa kufanyika hila hizo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 9, 2025 wakati…

Read More

Rahim Aga Khan V atawazwa rasmi

Lisbon. Mtukufu Mwanamfalme Rahim Aga Khan V ametawazwa rasmi kuwa kiongozi wa jamii ya Ismaili na Imam wa 50, kwenye hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa jamii ya Waislamu wa Shia Ismaili duniani. Hafla hiyo imefanyika leo Februari 11, 2025 katika ofisi kuu ya kiutawala ya Imam inayofahamika kwa jina la Diwan ya Ismaili Imamat iliyopo…

Read More

Masauni ateua wajumbe wa bodi ya TPFCS

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amefanya uteuzi wa wajumbe tisa wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi (TPFCS). Waziri Masauni amefanya uteuzi huo kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 6 (2) (a-g) cha Amri ya Uanzishwaji wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi…

Read More