Hatua kwa hatua kinachoendelea mgomo wa Kariakoo

Dar es Salaam. Wafanyabiashara katika soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam wamegoma kufungua maduka yao leo Jumatatu, Juni 24, 2024 ikiwa ni mgomo uliotangazwa kufanyika. Taarifa ya mgomo huo usio na kikomo zilianza kujulikana kupitia mitandao ya kijamii, baada ya kusambaa kwa vipeperushi vilivyowataka wafanyabiashara kutofungua maduka hayo kuanzia leo. Licha ya viongozi wa…

Read More

Kazi iliyo mbele ya mwenyekiti mpya wa AUC

Dar es Salaam. Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Mahmoud Youssouf, anakabiliwa na changamoto lukuki zinazolikabili Bara la Afrika kwa sasa, ikiwemo mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kukatwa kwa misaada inayotolewa na Serikali ya Marekani kwa Afrika. Youssouf, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti,…

Read More

Zarili yatakiwa kutathimini utendaji kazi wake

Unguja. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Suleiman Masoud Makame, amesema hajaridhishwa na mpangilio wa miundombinu, matumizi ya ardhi na namna shughuli zinavyoendeshwa katika Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Mifugo (Zarili). Amesema mazingira ya sasa ya taasisi hiyo hayako katika hali inayoweza kuonesha ufanisi, ubunifu au uendelevu unaotarajiwa kutoka kituo cha utafiti…

Read More

KAYA 980 KUUNGANISHWA NA MTANDAO WA GESI ASILIA – TPDC

–Serikali kupitia TPDC imetenga Shilingi Bilioni 5.3 kwa ajili ya mradi huu -Gesi asilia ni rafiki wa mazingira, nafuu na salama  –Wananchi wa Kata ya Mnazi Mmoja, Lindi wapewa elimu kuupokea mradi. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)  limeendelea kutekeleza kwa vitendo Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa kuanza utekelezaji wa mradi…

Read More

Joto la uchaguzi linavyotikisa ubunge Mbeya, Songwe

Joto la kusaka ubunge katika uchaguzi mkuu ujao kwenye majimbo yaliyopo Mbeya na Songwe limezidi kupanda, baada ya baadhi ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutajwa kuwania nafasi hizo, jambo linalowaweka matumbo joto wabunge wanaohitaji kutetea nafasi zao. Katika Mkoa wa Songwe wenye majimbo sita ya uchaguzi, majimbo ya Tunduma na Mbozi yamebainika kuwa…

Read More

KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI MAWASILIANO,ARDHI NA NISHATI ZANZIBAR YAIPONGEZA TASAC

Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi, Mawasiliano, Ardhi na Nishati Zanzibar, imelipongeza Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa utendaji kazi madhubuti katika usimamizi wa sheria na kanuni za usalama, ulinzi na utunzaji mazingira wa usafiri majini. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Yahya Rashid Abdulla, leo tarehe 03 Februari…

Read More

NGORONGORO KUIMARISHA HUDUMA ZA UTALII MAPANGO YA AMBONI TANGA.

Na Mwandishi wetu, Amboni-Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro inatarajia kuendelea kuimarisha huduma za utalii katika mapango ya Amboni yaliyopo mkoani Tanga ili yaweze kuvutia watalii wengi kutoka maeneo  mbalimbali duniani. Akizungumza na watumishi wa kituo hicho kaimu Meneja wa Uhusiano kwa umma wa mamlaka hiyo, Afisa Uhifadhi Mkuu Hamis Dambaya amesema kuwa malengo ya…

Read More