Njia mbadala, salama za kujenga mwili
Dar es Salaam. Katika jamii ya sasa, hasa miongoni mwa vijana, kujenga mwili limekuwa jambo linalotiliwa mkazo. Watu wengi wanapenda kuwa na miili yenye misuli imara, kifua kipana, mikono minene, na tumbo lililojaa ‘six pack’. Sura ya nje imekuwa kipimo cha kuvutia, kujiamini na hata mafanikio kijamii. Hata hivyo, katika harakati hizi, baadhi ya vijana…