Sababu upatikanaji wa dola sasa kutosumbua
Dar es Salaam. Hali ya upatikanaji wa dola nchini imeimarika kwa kiasi kikubwa katika wiki chache zilizopita wakati nchi ikiongeza mapato ya fedha za kigeni kutokana na kuongezeka kwa mapato kutoka kwenye utalii, dhahabu na mauzo ya nje. Hali imekuwa nzuri kiasi kwamba Mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI), Paul Makanza Β wakati wa…