Tuhalalishe utamaduni wa urais CCM kukata mzizi wa fitina
Ni kweli uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan na Dk Hussein Mwinyi kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi mkuu 2025 umeleta maneno ya chini kwa chini, lakini nadhani njia pekee ni kuhalalisha hicho kinachoitwa utamaduni. Ikiwa mwanachama hajaisoma vyema Katiba ya CCM na kuielewa na akauishi utamaduni wa CCM, kichwa kinaweza kumuuma na akadhani wenye chao…