CHADEMA: Maandamano yako palepale – Mwanahalisi Online
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, kimesisitiza kuwa hakijafuta maandamano yake iliyoyaitisha 23 Septemba, kupinga kushamiri kwa vitendo vya utekaji, utesaji na mauaji nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu,Dar es Salaam … (endelea). “Maandamano yetu yako palepale. Hatujayafuta na hatutayafuta,” ameeleza Tundu Lissu, makamu mwenyekiti wa chama hicho na kuongeza, “tutaweza kuyafuta, ikiwa tu, matakwa yetu yametimizwa.”…