Mligo ajiunga Chaumma, awataja Mbowe na Makalla

Dar es Salaam. Aliyekuwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Sigrada Mligo amekikacha chama hicho na kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), akiukumbuka wema wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo  wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla. Amesema ameondoka Chadema baada ya kuwepo kwa madai kutoka kwa viongozi wa…

Read More

Yanga, Simba zachomoa tena Kagame Cup 2025

WAKATI Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) likitangaza timu 12 zitashiriki mashindano ya Kombe la Kagame 2025 zikiwemo Yanga na Simba, wakongwe hao wa soka la Tanzania wameamua kujiweka pembeni huku sababu za kufanya hivyo zikitajwa. Uamuzi wa timu hizo kujiweka pembeni umetajwa ni kutokana na ratiba kuwabana kufuatia…

Read More

Kituo cha afya Chifutuka chapata gari la kubebea wagonjwa

Bahi. Wananchi wapatao 18,604 wa Kata ya Chifutuka wameishukuru Serikali kwa hatua ya kuwaletea gari la kubebea wagonjwa ambalo litahudumu kwenye kituo cha afya Chifutuka ambacho pia kinahudumia wananchi kutoka Wilaya ya Singida Vijijini mkoa wa Singida. Wakizungumza leo Jumamosi, Januari 11, 2025 wakati wa makabidhiano hayo na Mbunge wa wilaya ya Bahi Kenneth Nollo,…

Read More

Ambaye anaonya juu ya shida ya NCD ya ulimwengu, inataka uwekezaji wa haraka kuokoa maisha milioni 12 ifikapo 2030 – maswala ya ulimwengu

Mjini wa Nepal umechangia kuongezeka kwa chakula kilichosindika sana, ambacho kwa upande wake kimesababisha kuongezeka kwa magonjwa yasiyoweza kufikiwa kati ya watoto. Familia huko Nepal huchagua mazao safi katika soko la mboga katika juhudi za kukuza lishe yenye afya. Mikopo: UNICEF/Bishal Bisht na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Jumatatu, Septemba 22, 2025 Huduma ya waandishi…

Read More