Siri ya Wakurya kuwa wababe, wakali na wajasiri

Musoma. Kabila la Wakurya ni moja ya makabila yanayopatikana mkoani Mara. Hata hivyo, Wakurya wengi wanapatikana katika wilaya za Tarime, Serengeti na sehemu za wilaya za Rorya na Butiama lakini pia wanaishi katika wilaya zingine za mkoa huo. Mbali na kupatikana mkoni humo pia kabila hili lenye koo zaidi ya 10,  ni moja ya makabila…

Read More

Serikali yatangaza fursa za ajira 219

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imetangaza fursa za ajira kwa wataalamu wa kada mbalimbali huku wale wenye taaluma ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), wakihitajika zaidi ya wengine. Kwa mujibu wa tovuti ya sekretarieti ya ajira leo Jumatano Agosti 13, 2025, jumla ya wataalamu 219 wanahitajika kutoka kada 31, kati yao wa Tehama…

Read More

IAA YAENDELEA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA SABASABA

Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) ni moja ya Taasis za Wizara ya Fedha ambazo zinashiriki Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba vilivyopo katika barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengi ambayo chuo kinaonesha na kueleza ni kozi mbalimbali walizonazo kwa ngazi ya Astashahada…

Read More

KATIBU MKUU ATOA MAAGIZO KWA WCF KUHUSU UBORA WA HUDUMA KWA WANANCHI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mary Maganga, amelitaka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kuendelea kuboresha ubora wa huduma wanazozitoa kwa wananchi ili kuendana na viwango vya kimataifa vya utoaji huduma bora (ISO certification). Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Cheti cha Ithibati ya huduma bora kwa viwango…

Read More

Refa digidigi aliyemtikisa Motsepe CAF

SIKU njema huonekana asubuhi. Hii ipo kwa refa bwa’mdogo kutoka Libya, Zakaria Ibrahim Al-Ghaithy (15) ambaye alikuwa kivutio katika fainali za Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kwa timu za Shule (ASFC 2024) zilizofanyika mjini Unguja, Zanzibar. Katika fainali hizo zilizomalizika mwishoni mwa mwezi uliopita, Al-Ghaithy alikuwa gumzo kutokana na uwezo wake wa kupuliza kipyenga kwa…

Read More

Hali ya haki za binadamu Somalia inatia wasiwasi – DW – 09.05.2024

Katika mkutano na waandishi wa habari, Isha Dyfan ambaye ni mjumbe wa Umoja wa Mataifa ameweka bayana na kuelezea wasiwasi wake kutokana ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Somalia inayokabiliwa na machafuko ya kivita. “Kuhusu hali ya usalama nchini humo, Somalia inazidi kukabiliwa na changamoto si haba. Raia na hasa wanawake na watoto wangali wanaathirika pakubwa kutokana na…

Read More