Hersi: Umri ulisababisha nisiaminike Yanga
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, amesema wakati anaanza kuiongoza klabu hiyo, wengi hawakumuamini kutokana na umri wake mdogo. Hersi amesema wakati anaanza kuongoza Yanga watu wengi walipata mashaka kutokana na kwamba alikuwa ndiye kiongozi pekee mwenye umri mdogo huku mwenyewe akikubali wasiwasi wao. “Niliwaelewa wale ambao walikuwa na wasiwasi na umri wangu, nilikuwa kiongozi…