Aliyekataa penalti ya Yanga vs Azam, Singida BS vs Simba wafungiwa
WAAMUZI Hussein Katanga kutoka Tabora na Ally Mnyupe wa Morogoro, wamekumbana na adhabu za kufungiwa kutokana na makosa yaliyotokea kwenye michezo waliyochezesha. Waamuzi hao wawili wamefungiwa kwa mizunguko mitatu kufuatia Kamati ya Usimamizi wa Ligi kuwakuta na hatia kutokana na kushindwa kufanya uamuzi sahihi kwenye matukio mawili tofauti yanahohusisha penalti, yaliyotokea kwenye michezo miwili tofauti….