
Tamasha la Burudani la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu laandaliwa Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TAASISI ya Elimu ya Juu na Vyuo na Vyuo Vikuu Tanzania (TAHLISO), imeandaa tamasha la burudani ya muziki na komedi kwa wanafunzi wote wa Mkoa wa Dar es Salaam likalofanyika katika Viwanja vya Taasisi ya Uhasibu (TIA) Kurasini jijini Dar es Salaam. Kamishna wa Michezo na Burudani wa Shirikisho…