Usiku wa Ulaya waja kivingine ndani ya Meridianbet

Baada ya kushuhudia mechi kibao za ligi zikipigwa wikendi hii, sasa ni zamu ya mechi za Ligi ya mabingwa ambazo zimekuja na maokoto ya kutosha. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Mechi za mapema kabisa ni mbili leo mojawapo ni hii ya AC Milan vs Club Brugge mechi ambayo itapigwa San Siro. Ikumbukwe Milan…

Read More

BAOBAB WATEMBELEA NBAA – MICHUZI BLOG

BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kutoa elimu/mafunzo kwa wanafunzi wa Taasisi, Vyuo pamoja na Shule za Sekondari ikiwa na lengo la kuwajengea ufahamu kuhusu shughuli mbalimbali za Bodi na kukuza taaluma ya Uhasibu. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Mkurugenzi wa Huduma za Shirika CPA Kulwa Malendeja alitoa salamu…

Read More

Madiwani walia uchakavu Shule ya Msingi Litembe

Mtwara. Zaidi ya wanafunzi 260 wa Shule ya Msingi Litembe iliyopo katika Kata ya Madimba Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara wako hatarini kutokana na uchakavu wa majengo wanayotumia. Akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika leo Novemba 8, 2024 Diwani wa Kata ya Madimba, Idrissa Kujebweja amesema hatua za haraka zisipochukuliwa kuiboresha, shule hiyo…

Read More