Madakari bingwa 49 watua Mbeya
Mbeya. Serikali mkoani Mbeya imepokea kambi ya madaktari bingwa bobezi 49 kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa magonjwa kwa wananchi katika halmashauri saba. Ujio wa madaktari hao umetajwa kuleta suluhisho kwa wananchi wenye changamoto za magonjwa ukiwepo mfumo wa njia ya mkojo. Kambi hiyo imepokewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma…