Sura mbili ndoa za wenza kuishi mbalimbali
Mwanza. Katika zama hizi za kasi ya maendeleo ya teknolojia na uchumi, wanandoa kuishi miji tofauti kwa muda mrefu si jambo la kushangaza. Ni kawaida kwa mfano, kusikia mume ameajiriwa katika kampuni jijini Mwanza, huku mke akibaki Dar es Salaam kwa sababu za kazi, biashara au malezi ya watoto. Wengine wanaishi mbali kwa sababu ya…