Kuporomoka kwa jengo Kariakoo, fundi atoboa siri
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikieleza kuwa inaendelea na uchunguzi kubaini chanzo cha kuporomoka kwa jengo la Kariakoo, fundi aliyekuwa akifanya ubomoaji ameeleza sababu na hali ilivyokuwa. Jengo hilo liliporomoka mapema leo Jumamosi Novemba 16, 2024. Taarifa za awali kutoka kwa mashuhuda, zinaeleza ndani ya jengo hilo la kibiashara, kulikuwa na watu kadhaa waliokuwa wakifanya…