JKU yaishusha daraja New City kutoka ZPL

NEW City imekuwa timu ya tatu kuaga rasmi Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada kuchezea kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Maafande ya JKU katika mechi iliyopigwa jana Jumatatu usiku. Mechi hiyo iliyopigwa kuanzia saa 1:50 usiku ilichezwa kwenye Uwanja wa Mao A, mjini Unguja na ilihitimisha rasmi safari ya New City inayoungana na Inter Zanzibar…

Read More

Dabi ya Kariakoo ya Desemba 13 yaota mbawa

Mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu baina ya Yanga na Simba ‘Kariakoo Derby’ iliyokuwa ichezwe Desemba 13 mwaka huu, sasa itachezwa Machi Mosi, mwakani. Hiyo inafuatia maboresho ya ratiba ya Ligi Kuu yaliyotangazwa leo na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB). Kubadilishwa kwa ratiba ya mchezo huo, kunafanya mwezi…

Read More

Polisi yawasaka waliotelekeza boti yenye mirungi Tanga

Tanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawasaka watu wawili ambao bado majina yao hayajafahamika baada ya kutoroka na kutelekeza boti  ambayo ilibeba shehena ya dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya, kuja Tanzania kupitia bahari ya Hindi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa…

Read More

WAZIRI MAVUNDE  ASIKILIZA CHANGAMOTO ZA WADAU WA MADINI NCHINI

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde leo Aprili 22, 2024 jijini Dodoma amekutana na wafanyabiashara wa madini na wachimbaji wa madini kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili kwenye shughuli zao ikiwemo changamoto ya ukosekanaji wa teknolojia ya uchenjuaji wa baadhi ya madini na hivyo kuielekeza Tume kuandaa utaratibu sahihi wa usafirishaji wa madini yaliyongezwa thamani…

Read More