Kumrithi Kinana CCM, wanne watajwa
Dar es Salaam. Nani mrithi wa nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara? Hili ndilo swali linaloulizwa na wengi baada ya aliyekuwa na wadhifa huo, Abdulrahman Kinana kujiuzulu. Taarifa ya kujiuzulu kwa Kinana ilitolewa juzi na CCM, ikinukuu sehemu ya barua ya Rais Samia Suluhu Hassan, mwenyekiti wa chama hicho, akijibu “kukubali…