Wadau wataka mabadiliko ya sheria wanaojaribu kujiua

Dodoma. Wakati wataalamu wa afya ya akili na wanasheria wakishauri kufanyika marekebisho ya sheria ili wanaojaribu kujiua wapewa tiba  saikolojia, badala ya kukabiliwa na mashtaka, baadhi ya waliofikwa na kadhia hiyo wameeleza wanayopitia. Kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu mtu yeyote anayejaribu kujiua ana hatia ya kosa. Akizungumza Septemba 10, 2025 wakati wa…

Read More

Samia, viongozi duniani waelezea upekee wa Rais Carter

Rais Samia Suluhu Hassan na viongozi wa mataifa mbalimbali wamuelezea Rais wa 39 wa Marekani, Jimmy Carter, kuwa kiongozi mtetezi wa watu hasa waliopo mazingira hatarishi. Carter amefariki dunia jana, Desemba 29, 2024 akiwa na miaka 100 chini ya uangalizi wa wataalamu wa afya, Shirika la Habari Aljazeera limeeleza. Kutokana na kifo cha Carter, Rais…

Read More

Mbele ya Wiki ya Mkutano Mkuu wa hali ya juu, Guterres anawasihi viongozi wa ulimwengu ‘kupata uzito-na kutoa’-maswala ya ulimwengu

Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari katika makao makuu ya UN Jumanne huko New York, alionya kwamba mgawanyiko wa ulimwengu, mizozo na machafuko yameacha kanuni ya ushirikiano wa kimataifa kwa hatua yake dhaifu katika miongo. “Wengine huiita Kombe la Dunia la diplomasia,” Bwana Guterres alisema. “Lakini Hii haiwezi kuwa juu ya alama za kufunga…

Read More

TCU yafungua dirisha jipya udahili elimu ya juu

  Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), imefungua awamu ya tatu ya udahili wa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na elimu ya juu, kutuma maombi ndani ya siku tano (5), kuanzia kesho. Anaripoti Restuta James, Dar es Salaam  (endelea). Katibu Mtendaji wa TCU, Prof. Charles Kihampa, ametangaza kufunguliwa kwa awamu hiyo kupitia taarifa yake, aliyoitoa leo tarehe…

Read More

CTI yasema bajeti kuu itachochea ukuaji wa viwanda

Mkurugenzi wa Shirikisho la Wenye Viwanda (CTI), Leodegar Tenga akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu maoni ya wenye viwanda kuhusu bajeti kuu ya serikali. Kulia ni Mkurugenzi wa Sera, Akida Mnyenyelwa na kushoto ni Mtaalamu wa Sera za Viwanda Isack Msungu Na Mwandishi WetuSHIRIKISHO la Wenye Viwanda (CTI), limesema kuanzishwa…

Read More

Meridianbet Yaigusa Hospitali ya Palestina Sinza

IKIWA leo hii ni Jumamosi siku ya mwisho ya mwezi Mei, wakali wa ubashiri Meridianbet iliamua kufunga safari hadi hospitali ya Palestina Sinza kwaajili ya kutoa msaada kwa kina mama wanaojifungua. Katika tukio hilo la kugusa maisha, Meridianbet ilitoa pampers za watoto wachanga, mashuka mapya, na sanitizers kwa ajili ya kusaidia mazingira bora ya malezi…

Read More

Zawadi zatajwa chanzo cha ukatili wa kingono kwa wanafunzi

Arusha. Hongo, zawadi ndogondogo pamoja na mmomonyoko wa maadili zimetajwa kuwa chanzo cha matukio ya ukatili wa kingono kwa wanafunzi shuleni. Kutokana na hilo, wazazi na walezi wametakiwa kuongeza ukaribu na watoto wao katika malezi, lakini pia Serikali iongeze adhabu kwa watu wanaothibitika kutenda makosa ya kinyume na maadili, hasa ubakaji na ulawiti wa watoto….

Read More

MAGRETH BARAKA AJITOSA UENYEKITI VIJANA FEMATA

Na Mwandishi wetu MKURUGENZI wa kampuni ya Mfuko wa Uwekezaji wa Madini wa Afrika (Africa Investment Fund) Magreth Baraka Ezekiel ametia nia ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa vija Taifa wa shirikisho la vyama vya wachimbaji madini nchini (FEMATA). Magreth ambaye ni Mkurugenzi wa mfuko huo wa AIF unaowaunganisha wawekezaji wa ndani na nje ya…

Read More