Bendera zilizoinuliwa huko Doha wakati viongozi wanakusanyika kwa Mkutano wa Maendeleo ya Jamii wa UN – Maswala ya Ulimwenguni

Sherehe hiyo iliashiria dhana rasmi ya Umoja wa Mataifa ya Kituo cha Mkutano wa Kitaifa wa Qatar (QNCC) kama ukumbi ambao viongozi wa ulimwengu watafanya kazi ili kurekebisha tena mpango wa kijamii wa ulimwengu. Hafla hiyo fupi lakini ya mfano, iliyofanyika katika Kituo cha Mkutano wa Sprawling, ilihudhuriwa na maafisa wakuu kutoka Qatar na Umoja…

Read More

SERIKALI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA MADHUBUTI KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI- NYONGO

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Stanslaus Haroon Nyongo (Mb) amesema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji kwa lengo la kuwawezesha Watanzania na wageni kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi nchini kwa kufanya mapitio ya jumla ya sheria 66 za kisekta. Nyongo ameyasema hayo…

Read More

Simba: Kesho tunaanza upya | Mwanaspoti

OFISA Habari wa Simba, Ahmed Ally, amesema wana mechi ngumu kesho watakapokutana na timu ambayo haina cha kupoteza, hivyo wapo kwenye wakati mgumu kufikiria nini watafanya ili kuvuka hatua inayofuata. Katika kufikiria huko, Ally amebainisha kwamba, wataingia kwenye mechi hiyo akilini mwao matokeo yakiwa 0-0 licha ya kwamba ugenini walishinda bao 1-0. …

Read More

Vigogo kushiriki ibada ya kuaga mwili wa Mhagama

Dodoma. Viongozi mbalimbali Serikali na wabunge wameanza kuwasili katika Kanisa Katoliki Kiwanja cha Ndege kwa ajili ya ibada ya mwisho ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Peramiho (CCM), Jenista Mhagama. Ibada hiyo inatarajia kuhudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi, Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba na viongozi wengine wa…

Read More