Kagere ‘ajilipua’…. Asema jambo zito akimtaja Fei Toto
STRAIKA wa zamani wa Simba, Meddie Kagere amesema Tanzania ina wanasoka wazawa wenye vipaji vya juu na miongoni mwao ni kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, aliyempa ujanja kwamba siku atakapoamua kwenda kucheza soka la kulipwa nje atakuwa moto zaidi. …