Sababu radi kupiga Dar, jinsi ya kujikinga
Dar es Salaam. Katika kipindi hiki cha mvua, ili kujikinga na radi unapaswa kuepuka kukaa chini ya miti. Epuka kukaa katika eneo la wazi kama ufukweni au uwanjani, kwa sababu radi ikipiga huwa inatafuta kitu kirefu; kwa hiyo kama uko uwanjani wewe ndiyo unakuwa mlengwa. Vilevile, kama upo ndani ya nyumba jiepushe kukaa karibu na…