ABC yaipokea UDSM Outsiders | Mwanaspoti

KICHAPO ilichopewa UDSM Outsiders kutoka kwa KIUT cha pointi 65-60, kimeifanya timu hiyo ishuke katika uongozi wa msimamo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) hadi kwenda nafasi ya tano ikiipisha kileleni ABC. Kushuka kwa Outsiders kumeifanya ABC iongoze Ligi hiyo kwa pointi 12, ikifuatiwa na Dar City iliyopata pointi 10. Takwimu…

Read More

Balozi Kombo awahimiza vijana kuilinda amani ya nchi

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewataka vijana nchini kuwa wazalendo kwa taifa lao na kuilinda amani kwani itakapotoweka ni vigumu kuirudisha. Balozi Kombo amesema hayo leo Januari 6, 2026, katika mahafali ya 28 ya wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dk…

Read More

TBS yabaini matumizi holela ya bidhaa za vilevi

Dodoma. Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limefanya tathimini ya vileo sokoni na kubaini changamoto kubwa ipo katika matumizi holela bidhaa. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dk Ashura Katunzi leo Machi 18,2025 alipokuwa akizungumzia mafanikio ya miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita na mwelekeo wa shirika hilo. Amesema shirika hilo limechukua hatua…

Read More

Apandishwa kizimbani akidaiwa kumbaka mtoto wa miaka 17

Geita. Mkazi wa Mgusu Mjini Geita Magongo Kulwa (30) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Geita akidaiwa kumbaka mtoto wa miaka 17.  Mbele ya Hakimu wa mahakama hiyo, Nyakato Bigirwa, Mwendesha mashtaka Luciana Shaban amesema mshtakiwa huyo anadaiwa kutenda kosa hilo Aprili 4, 2024 huko Mgusu. Hata hivyo, mshtakiwa huyo alikana kutenda kosa hilo na…

Read More

Simba yafika bei kwa Mzamiru

SIMBA imeshtuka hii ni baada ya kuamua kumuita kiungo mkabaji, Mzamiru Yassin haraka kwa ajili ya makubaliano ya mkataba mpya baada ya baadhi ya timu kuonyesha nia ya kumhitaji. Kiungo huyo ambaye amehudumu kwa muda mrefu ndani ya kikosi cha Simba alikuwa anawindwa na Azam FC sambamba na Ihefu FC, timu ambazo zilikuwa zinataka huduma…

Read More

Uadilifu na uadilifu wa eneo la Ukraine Paramount, Baraza la Usalama linasikia – Maswala ya Ulimwenguni

Mabalozi wakuu katika Baraza la Usalama Mbele ya maadhimisho ya tatu ya uvamizi kamili wa Urusi wa Ukraine, Miroslav Jenča, Katibu Mkuu wa Uropa katika Idara ya Siasa na Amani (DPPA), alisisitiza juhudi za kidiplomasia lazima zizingatie kupata amani ya haki na ya kudumu. Ushiriki kamili wa Ukraine, Urusi “Umoja wa Mataifa unahimiza mazungumzo kati…

Read More

Tafakari juu ya majadiliano ya wiki nzima ya CGIAR juu ya Sayansi ya Mfumo wa Chakula-Maswala ya Ulimwenguni

Wiki ya Sayansi ya Cgiar Kufunga Plenary. Mikopo: Busani Bafana/IPS na Joyce Chimbi (Nairobi) Ijumaa, Aprili 11, 2025 Huduma ya waandishi wa habari NAIROBI, Aprili 11 (IPS) – Zaidi ya washiriki 13,600 kutoka ulimwenguni kote waliosajiliwa kwa Wiki ya Sayansi ya Cgiar katika UN Complex, Nairobi, Aprili 7-12, 2025. “Wana kiu cha tumaini, na ndivyo…

Read More