Mahakama Kuu yakataa shauri la kufutwa sherehe za Uhuru

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, imetupilia mbali shauri la maombi ya kibali cha kupinga uamuzi wa kufuta sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika mwaka 2025, lililofunguliwa na wakili Peter Madeleka. Uamuzi huo umetolewa na Jaji Juliana Masabo, leo, Jumatano, Desemba 17, 2025, baada ya kukubaliana na hoja za pingamizi la awali…

Read More

TAKUKURU TANGA YAANZA UCHUNGUZI WA MIRADI ILIYOKUWA NA MAPUNGUFU KATIKA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga,Afisa Uchunguzi Mwandamizi wa Takukuru Mkoa wa Tanga Frank Mapunda wakati akitoa taarifa utendaji kazi wao kwa kipindi cha kuanzia Aprili hadi Juni 2024.Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga,Afisa Uchunguzi Mwandamizi wa Takukuru Mkoa wa Tanga Frank Mapunda wakati akitoa taarifa utendaji…

Read More

Watoto kutibiwa moyo bure Zanzibar

Unguja. Changamoto ya gharama inayowakabili wazazi ambao watoto wao wana matatizo ya moyo, huenda imepata ufumbuzi baada ya kampuni ya simu ya Vodacom kulipia asilimia 30 ya gharama za matibabu. Kwa kawaida visiwani hapa watoto wenye matatizo ya moyo asilimia 70 ya gharama za matibabu hutolewa na Serikali huku asilimia 30 ikitolewa na wazazi wa…

Read More

WAZIRI ULEGA AAGIZA IDADI YA MAFUNDI SANIFU KUONGEZWA

  Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameiagiza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kuongeza juhudi za kusajili wataalam wa kada ya mafundi sanifu na kuwajengea uwezo, kwani idadi iliyopo sasa hailingani na ile wanaostahili kusajiliwa.   Waziri Ulega alitoa agizo hilo leo tarehe 22 Mei, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya saba…

Read More

‘Amani ndio nguvu yenye nguvu zaidi kwa maisha bora ya baadaye’: Guterres – Maswala ya Ulimwenguni

António Guterres alitoa simu wakati wa sherehe ya kila mwaka kwa misingi ya makao makuu ya UN huko New York kupiga kengele ya amani. Kufuatilia sababu ya amani ni “moyo unaopiga” wa shirika, “lakini leo, amani imezingirwa,” yeye Alisema. “Migogoro inazidisha. Raia wanateseka. Haki za binadamu na sheria za kimataifa zinakanyagwa – ikiacha sura ambazo…

Read More

Eto’o: Tanzania inastahili nne CAF

RAIS wa Shirikisho la Soka la Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o ambaye pia  ni nyota wa zamani wa Barcelona, Chelsea na Inter Milan, ameeleza umuhimu wa kuboresha nafasi za timu za Afrika katika mashindano ya kimataifa, huku akisema Tanzania inastahili kuwakilishwa na klabu nne CAF. Eto’o anasisitiza Tanzania na mataifa mengine yenye ligi imara yanapaswa kuwa…

Read More