Tanzania kuanza kuunganisha magari ya umeme na gesi

Dar es Salaam. Wakati dunia ikihamasisha matumizi ya nishati safi ikiwemo katika vyombo vya moto ambayo ni moja ya hatua ya kukabiliana na hewa ukaa, Tanzania ipo mbioni kuanza kufanya uunganishaji wa magari ya umeme na gesi. Uunganishaji wa magari haya sasa utafanya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kupata urahisi wa kununua…

Read More

Mapigano ya afisa wa marekebisho ya hadhi ndani ya magereza ya Kongo – maswala ya ulimwengu

Olukemi Ibikunle alichukua pumzi nzito. Kazi hiyo ilimfaa kwa T lakini ingemchukua mbali na familia yake huko Lagos, Nigeria. Halafu meneja wa mradi mwenye umri wa miaka 38 alifanya kile mpangaji yeyote wa kina angefanya: aliita nyumbani. “Niliongea na mume wangu, akasema,” Kwanini unaniuliza? Nenda, nenda, nenda! Waambie ndio! “ Shauku yake ilimtia moyo. Lakini…

Read More

Jaji Mkuu afungua milango maboresho ya sheria, sera

Dodoma. Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju ametoa wito kwa Watanzania wote kutoa maoni yao kuhusu maboresho ya sheria na sera, ili kuchochea utawala wa sheria, kukuza demokrasia na kuimarisha ustawi wa wananchi. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa ufunguzi wa mjadala wa kitaifa kuhusu maboresho ya sheria na sera, Jaji Masaju amesisitiza kuwa majadiliano yako…

Read More

BENKI YA DUNIA YAIPONGEZA TANZANIA MRADI WA SGR

  Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Benki ya Dunia imeshangazwa na hatua kubwa iliyofikiwa na Serikali katika kutekeleza Mradi wa Kimkakati wa Reli ya Kisasa wa SGR, na kuahidi kuwa itaweka mkono wake kusaidia ujenzi wa Reli hiyo muhimu kwa kukuza biashara na ukuaji wa uchumi wa nchi. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es…

Read More

BALOZI MULAMULA ASISITIZA AMANI NA UMOJA 2026

 ::::::::: Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika kuhusu masuala ya Wanawake Amani na Usalama, Liberatha Mulamula, amewatakia Watanzania heri ya mwaka mpya huku akiwatasisitiza kuendelea kudumisha amani na umoja. Waziri huyo Mstaafu wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mulamula ameyesema hayo alipozungumza leo, huku akiwapongeza Watanzania kwa kupokea mwaka mpya. Amewapongeza, wananchi…

Read More

TANROADS yampa tano rais Samia kutoa Bil 101.2 kuanza ujenzi barabara ya Kahama-Bulyanhulu JCT – Kakola

Baada ya tarehe 16 Machi 2024 Serikali kusaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct – Kakola yenye urefu wa Kilomita 73 kwa kiwango cha lami, tayari Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation imeanza utekelezaji wake. Pamoja na Barabara hiyo kufungua fursa za kiuchumi za madini, kilimo, misitu na utalii katika mikoa ya…

Read More

Watu 78 wafariki baada ya boti kuzama Kongo, 58 waokolewa

  TAKRIBAN watu 78 wamefariki dunia, baada ya boti kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo jana. Taarifa zinaeleza kuwa zaidi ya watu 100 waliokuwa wamepanda boti hiyo hawajulikani walipo. Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini, Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo,…

Read More